Sunday 10 March 2013

MLIO WA JA’NDHIWA!!!

Baba!!! Raila Amolo wuod Odinga owadgi Akinyi a lot kibudi!!!

Sisi jo Nyansa kutoka Homabay, Kisumo, Siaya ka baba kod Migori nakadhalika duto te walisamambia wewe chon gi lala ni wacha huu hadithi cha Bunde na lisasi chake, kata goyo kura kwa sude auchiel. Lakini wewe amesakataa kata kata gi wembe abadan katan mithili ya Ositrich ambaye amesatumbukisa kichwa chake chote kwenye mchanga akawacha siandane kogulo inje.

Wewe amesastress kwa bold letters in capitol madongo dongo marom gi it liech ya kwamba bunde ni lasima opewe na lisasi chake chote kutoka piny nyako malo. Ndio wewe atawesa kusut jawasigu ma jorabuon kwa njia nafuu mayot moloyo. Ukasema sut ya jaluo jeuri lasima okuwe six piece marateng tititi kama ya ginene ya punda, kutoka tielo nyaka taye ya singo.

Sisi tukasayo wewe ma wanang’i kwa ulimi chetu makwar haa ya kwamba tusone hata sut ya adhiambo adhiambo, baba ukasema sut ya orange ni msuri saidi moloyo nguo ya adhiambo adhiambo na pia bunde ni msuri tena saidi moloyo kabisa yeye nikiwa na lisasi yake umetumbukiswa ndani chake. 

Sasa ona baba mithili ya asiyekuwa na macho hambiwa tasama, sut tumesasona makwar haaa na risasi tumesapea wewe ma ok bere bere. Lakini bunde sasa iko wapi? Bunde hayuko, lisasi chote imesajaa kwenye parade ya ward na assembly ya bunge pamoja na senet. Hii mitoto ndogo saidi kwa siasa ya Jombo Kenyata mwenye thorax chake bado inadung’ chak mar chiew amesachukua bunde akaweka sisi mayatimbe na maskinde hoheha hakuna wasasi, hakuna bunde na hakuna mbele. Nyuma ndio iko yawa!

Sasa maswali mengi kwani sisi ni polise wa askeche ya Kiganjo ndio tunaulisa ya kwamba, hii lisasi chote tumemupa wewe sasa tutaweka kwenye orujre koso katunja? Ama tutaomba bunde kwa kasin yetu ile marateng’ ti ya Sudan south koso ule mingine ya White House ya wasunge masungore ka mond waindi kule Amerka yawa?

Si hata afadhali tungekuwa na bunde maonge lisasi tunaweschuado nayo kichwa cha jawasigu matiarrre gi ediere yawa?

Mimi ja Ndhiwa amesalia machosi yangu te mpaka maji ya macho amesakauka te mithili ya Kalahari desat kwa hio msindi wa Ouru. Baba, mimi ako tu na ombi moja kende. Kwa vile wewe ako na namba ya simu ya huyo presidel mupya wa sitet house, mimi anaomba tu omtwangie simu uombee mimi kasi kwake hata ya kuchiedoo kwa jokon, kubetoo kwenye kompaund, kunyiedhoo dume yake na hata pia kusika yeye tisu pepa akienda inje kubwa. Asayi, fanyia mimi hiyo kabla uende bondo ama kibera kuusa ile mandas maliet haa ulisasema utausa.

Erokamano jathurwa.

No comments:

Post a Comment